资讯

WACHEZAJI wa kizungu huwa wanazipa heshima na kuzithamini sana timu ambazo zimewapa fursa ya kujitangaza na kuingia katika ...
UFANYAJI mazoezi mepesi ya kukimbia katika barabara za huduma au pembezoni ni maeneo ambayo watu hupenda kuyatumia kufanya ...
Tausi Royals haishikiki katika Ligi ya kikapu Dar es Salaam (WBDL) na inaongoza kwenye msimamo ikiwa na pointi 14 ikifuatiwa ...
MAMBO yanaendelea kuwa mambo katika viunga vya Jangwani wakati huu ambapo Yanga imeshaanza kufanya biashara ikifanikiwa kumuuza aliyekuwa kiungo wake, Stepahie Aziz KI kwenda Wydad Casablanca ...
MWAMBA wa Burkina Faso, Stephanie Aziz KI tayari ameshaanza kukipiga katika chama lake jipya la Wydad Casablanca alikotua hivi karibuni akitokea Yanga, lakini huku nyuma kaacha kumbukumbu ...
MWENDO wa weka niweke ulikuwa katika mechi za raundi ya 29 za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Jumatano hii ambapo kulikuwa na vita ...
IMERUDI tena. Ndicho unachoweza kusema baada ya ratiba mpya ya Ligi Kuu England msimu wa 2025-26 kutangazwa, huku Manchester ...
STAA mpya wa Manchester City, Rayan Cherki amefichua usajili mpya utakaofanywa Chelsea kwenye dirisha hili kwamba watatua ...
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa uko katika harakati za kukisuka kikosi kwa ajili ya msimu ujao, ambapo tayari mabosi wa timu ...
MANCHESTER United inafanya majadiliano ya ndani kuhusu ofa ambayo inaweza kuiandaa kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa ...
NYOTA wa zamani wa Yanga, Ally Mayay amethibitisha kuingia kwenye mbio za kugombea urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku mbili baada ya kuchukua fomu ikielezwa ...